Descriptions
SUMMARY
π¨ Auction π Vehicles & Motorcycles Public auction β° In 7 days π’ So They Can Tanzania π Auction date and time Monday, 16 November 2026 Β· 10:00 AM π Venue Ofisi ya So They Can Tanzania, Na.1, Mtaa wa Sinza, Nyunguu, Babati, Manyara π Inspection Saa 03:00 asubuhi β saa 11:00 jioni π° Deposit / payment 100% π Add to Google Calendar πΊ Map Original notice and documents β Wito wa zabuni: Uuzaji wa trekta ZABUNI NAMBA: STC/TZ/ADV/2026/02 Shirika la So They Can Tanzania linategemea kuuza trekta, mali ya shirika. Mauzo ya trekta hilo yanazingatia mahali trekta lilipo na hali yake ya sasa βKama Lilivyo, Mahali Lilipoβ Maelezo ya trekta Aina ya trekta: John Deere Namba ya Usajili: T 958 CDY Mwaka wa Kutengenezwa: 2012 Modeli: 5503 Chesesi Namba: PY5503E003356 Hali ya Injini: Nzuri Aina ya Mafuta: Dizeli Mfumo wa Giabox: Manual Rangi ya Nje: Kijani Hali ya Tairi: Nzuri Bima: Inaisha 18 Desemba 2026 Masharti na vigezo vya uuzaji 1. Kama Lilivyo, Mahali Lilipo Trekta litauzwa kulingana na hali yake ya sasa. Waombaji wanashauriwa kulikagua kabla ya kuwasilisha maombi yao ya manunuzi.
HOW TO APPLY
Use the application link below to open the official application form.