Descriptions
Shirikisho la vyama vya ushirika Tanzania Bara linatangaza mnada wa hadhara wa uuzaji wa mali chakavu ambazo ni:
i. Gari chakavu aina ya Landlover 110
ii. Injini chakavu ya Prado
iii. Mashine chakavu za kiwanda cha uchapaji
iv. Thamani chakavu mbalimbali za ofisi
Mnada utafanyika Januari 17, 2025 siku ya Ijumaa katika eneo la Sharif Shamba Ilala jijini Dar es Salaam jirani na hospitali ya Amana, mkabala na TAURA kuanzia saa 4.00 asubuhi.
Sambamba na hilo kwa atakaehitaji kuona mali hizo anaweza kuziona kuanzia Januari 3, 2025.
Kwa Maelezo zaidi - Tafadhali fika katika ofisi za Shirikisho la Vyama vya Ushirika zilizopo katika Jengo la ushirika ghorofa ya 16 – Mnazi Mmoja - Dar es Salaam au piga simu 0767 296 272.