ISOAF TZ-NAFASI: MUUNGANISHA MITAMBO- MIUNDO YA VYUMA NA VIFAA VYA MITAMBO (STEEL STRUCTURE AND MECHANICAL EQUIPMENT)

ISOAF TZ

Tabora 31/10/22 -30/11/22

DescriptionsISOAF Tz Limited ni kampuni ya kitanzania
iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria  yenye
makao makuu jijini Dar es Salaam na mitambo yake ya uzalishaji Mkoa wa Tabora  katika wilaya ya Nzega.Kampuni inatarajia
kuanza rasmi shughuli za uzalishaji kama mkandarasi wa mfumo wa Uhamishaji Joto
katika mradi wa bomba la mafuta ghafi la Africa Mashariki (EACOP) NAFASI: MUUNGANISHA
MITAMBO- MIUNDO YA VYUMA NA VIFAA VYA MITAMBO (STEEL STRUCTURE AND MECHANICAL
EQUIPMENT)KITUO CHA KAZI; KIJIJI CHA SOJO, KATA YA IGUSULE,
NZEGA TABORAMaelezo
ya kazi·       
Kukusanya vifaa vya mitambo kulingana na
mahitaji ya kampuni·       
Kusoma, kuelewa, kutafsiri na kufuata
ramani, michoro ya kihandisi, vipimo na maagizo mengine yaliyoandikwa na
kufuata taratibu zilizowekwa ili kukusanya vifaa kwa usahihi.·       
Maandalizi ya kebo; ikiwa ni pamoja na
kuzitoa maganda, kuzifunga na kuweka lebo·       
Ukusanyaji wa mitambo kwa kutumia mikono
na mashine·       
Kufanya kazi na vifaa vya ukubwa
mbalimbali kutoka sehemu kubwa hadi ndogo·       
Kufanya upimaji/ukaguzi wa ubora ili
kuhakikisha kuwa bidhaa zimetimiza masharti na viwango vya ubora·       
Kutambua kasoro za bidhaa na kutoa
taarifa kwa wataalamu wanaohusika·       
Kurekebisha au kutengeneza upya bdihaa
zilizofungwa kulingana na mabadiliko ya vipimo vya uhandisi·       
Kuratibu utekelezaji wa kandarasi za
uzalishaji wa vipengele vya miundo hasa: udhibiti wa ubora, ufuatiliaji wa ratiba
na michakato iliyoidhinishwa.·       
Kukata na kuunganisha vyuma na kuweka
miundo ya mitambo. Kukubalika kwa mwelekeo kutahusisha matumizi ya mbinu za
kawaida za metrolojia.Sifa,
uwezo na uzoefu·       
Ufundi au Stashahada, Shahada ya Uhandisi
Mitambo ni faida ya ziada·       
Uzoefu wa miaka miwili katika kuweka
miundo ya mitambo na vifaa·       
Usimamizi wa timu·       
Maarifa na matumizi ya mbinu za
utengenezaji na maandalizi ya kazi·       
Ujuzi wa kusoma na kuelewa vifaa vya
mitambo na michoro ya vifaa vya uwekaji mitambo·       
Ujuzi wa matumizi ya aina tofauti ya
vifaa kama vile bisibisi, nyundo, grinder na mashine ya kuchomelea.·       
Awe na uwezo wa kufanya kazi katika
majengo marefu·       
Maarifa katika kuweka sawa na kupanga
vifaa·       
Uzoefu katika kazi ya kuchomelea aina
tofauti za miundo ya chuma na vifaa katika nafasi tofauti·       
Uwezo wa kufuata sheria za HSE na kutumia
EPP kutii na kutekeleza viwango vya afya na usalama kazini.  Tuma maombi yako kupitia : hr-tanzania@isoaf.com, Mwisho wa
kutuma maombi ni tarehe 11 Novemba 2022Tafadhali kumbuka kuwa usipopigiwa simu ndani ya wiki
2 baada ya tarehe ya mwisho ya maombi, tambua kuwa maombi yako hayajafanikiwa.    
Fanya Biashara yako ikue zaidi.

CATEGORIES

Apply For An Advert.


Email