ISOAF TZ-NAFASI: MUUNGANISHAJI VIFAA VYA UMEME (ELECTRICAL ASSEMBLER)

ISOAF TZ

Tabora 31/10/22 -30/11/22

DescriptionsISOAF Tz Limited ni kampuni ya kitanzania
iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria  yenye
makao makuu jijini Dar es Salaam na mitambo yake ya uzalishaji Mkoa wa Tabora  katika wilaya ya Nzega.Kampuni inatarajia
kuanza rasmi shughuli za uzalishaji kama mkandarasi wa mfumo wa Uhamishaji Joto
katika mradi wa bomba la mafuta ghafi la Africa Mashariki (EACOP) NAFASI:
MUUNGANISHAJI
VIFAA VYA UMEME (ELECTRICAL ASSEMBLER) KITUO CHA KAZI; KIJIJI
CHA SOJO, KATA YA IGUSULE, NZEGA TABORAMaelezo
ya kazi·       
Kufanya kazi za michoro ya umeme, nyaya,
maandishi na maarifa ya kuamua eneo na uwekaji wa vifaa vya umeme, vipitisha
umeme na vidhibiti umeme.·       
Kukata na kuweka nyanya kwenye sakiti za
umeme. Kuangalia mwendelezo, alama sahihi na mzunguko wa umeme. Kufanya miunganisho
ya nyaya kwa ajili ya matumizi ya umeme.·       
Kuthibitisha kazi iliyofanywa kwa kufanya
jaribio ili kubaini kifaa kinachofaa au utejindakazi wa mzunguko wa umeme ili
kukidhi mahitaji ya uendeshaji wa mashine.·       
Kutumia vifaa vya kawaida, vya mikono na
vya nishati ya umeme,   vifaa vya
kuunganisha bomba na vifaa vya kupimia kama vile mita za volt, vipimo vya umeme
na vifaa vya majaribio vinavyohitajika.·       
Ufungaji wa kebo za umeme, kuangalia na
kuunganisha vipengele tofauti vya umeme.·       
Kuunganisha mitambo na vifaa vya umeme
vya Wasco Isoaf Tz HVAC, vifaa vya kugundua uvujaji wa umeme na vifaa vya
uchunguzi.·       
Kukusanya vifaa vya kiufundi, kufanya
upimaji wa utendaji kazi na ufungashaji wa vifaa vinavyotakiwa. Kufuata mpango uliowekwa
ili kuunganisha nyaya.·       
Kukata nyaya za umeme kulingana na
maagizo ya kazi·       
Kufanya majaribio ya bidhaa
iliyokamilishwa ili kuhakikisha uwezo wake kufanya kaziSifa,
uwezo na uzoefu·       
Ufundi au Stashahada, Shahada ya Umeme ni
faida ya zaiada·       
Ufundi wa miaka miwili·       
Ujuzi wa ufungaji wa vifaa vya umeme.·       
Ufungaji na usimamizi wa vifaa vya umeme
vya viwandani.·       
Ujuzi wa kusoma na kuelewa michoro ya
umeme, misimbo ya umeme na michoro ya saketi.·       
Mtulivu.·       
Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa
kushirikiana.·       
Uwezo wa kufuata sheria za HSE na kutumia
EPP kutii na kutekeleza viwango vya afya na usalama kazini.  Tuma maombi yako kupitia : hr-tanzania@isoaf.com, Mwisho wa
kutuma maombi ni tarehe 11 Novemba 2022Tafadhali kumbuka kuwa usipopigiwa simu ndani ya wiki
2 baada ya tarehe ya mwisho ya maombi, tambua kuwa maombi yako hayajafanikiwa.    
Fanya Biashara yako ikue zaidi.

CATEGORIES

Apply For An Advert.


Email