ISOAF TZ-NAFASI: MRATIBU WA GHALA

ISOAF TZ

Dar es Salaam 31/10/22 -30/11/22

DescriptionsISOAF Tz Limited ni kampuni ya kitanzania
iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria  yenye
makao makuu jijini Dar es Salaam na mitambo yake ya uzalishaji Mkoa wa Tabora  katika wilaya ya Nzega.Kampuni inatarajia
kuanza rasmi shughuli za uzalishaji kama mkandarasi wa mfumo wa Uhamishaji Joto
katika mradi wa bomba la mafuta ghafi la Africa Mashariki (EACOP) NAFASI: MRATIBU WA GHALAKITUO CHA KAZI;KURIPOTI KWA: MSIMAMIZI WA UGAVI Malengo/ Madhumuni ya kaziMratibu wa ghala ana jukumu la kusimamia mchakato mzima
wa ghala unaohusiana na mradi wa EACOP. Meneja wa ghala anaripoti moja kwa moja
kwa Msimamizi wa Ugavi na Manunuzi wa mradi. Mwambaji anapaswa kuwa na uzoefu
wa vitendo katika usimamizi wa ghala, usimamizi wa vitendea kazi, usimamizi wa
uhifadhi, usimamizi wa ugavi, usimamizi wa kuingia na kutoka bidhaa na ujuzi wa
SAP.Majukumu·       
Kusimamia shughuli za kupokea, kuhifadhi na
usambazaji.·       
Utekelezaji wa sera na taratibu za uendeshaji.·       
Kupanga upya shughuli za kusimamia pamoja na timu ya
ugavi·       
Kusimamia
shughuli za ulinzi·       
Kutunza nyaraka na kuweka
kumbukumbu sahihi za shughuli za ghala.·       
Kuhakikisha shughuli
zinafanywa kwa wakati mwafaka·       
Kusimamia michakato yote
kwa mujibu wa sheria za EACOP·       
Awe anapatikana Kahama.  Sifa
na uzoefu wa mwambaji·       
Awe
na uzoefu usiopungua miaka 5 katika usimamizi wa ghala au jukumu linaloendana·       
Awe na uzoefu wa SAP S/4
HANA - au matoleo ya aina nyingine/ lazima·       
SAP MM (usimamizi wa
nyenzo) - lazima·       
SAP PM (matengenezo) -
lazima.·       
SAP P2P (manunuzi na
mchakato wa malipo) - nzuri kuwa nayo.·       
Awe
na uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikianoSifa binafsi·       
Ujuzi
katika utatuzi wa matatizo na mawasiliano·       
Uwezo
wa kusikiliza na kupambanua mambo vyema·       
Mwenye
kujituma na makini·       
Muwazi na mwenye shauku ya kufanikiwa   Tuma maombi yako kupitia : hr-tanzania@isoaf.com, Mwisho wa
kutuma maombi ni tarehe 11 Novemba 2022Tafadhali kumbuka kuwa usipopigiwa simu ndani ya wiki
2 baada ya tarehe ya mwisho ya maombi, tambua kuwa maombi yako hayajafanikiwa.    
Fanya Biashara yako ikue zaidi.

CATEGORIES

Apply For An Advert.


Email