TANGAZO LA ZABUNI

NYANZA CO-OPERATIVE UNION (1984) LTD

Mwanza 15/07/21 -28/07/21

DescriptionsTANGAZO LA ZABUNINyanza
co–operative union (1984) Ltd inawatangazia zabuni za kupanga kwenye majengo
yake kwa ajili ya matumizi mbalimbali kama vile hotel, Hospitali, Lounges, Bar
and cafeteria, huduma za kibenki na matumizi mengine ya ofisi kwa ajili ya
Taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali. Maeneo yanayo tangazwa ni kama
ifuatavyo; A: JIJINI MWANZA (Pamba Hostel)-Jengo
lipo mjini mkabala na jengo la PSSSF na Maktaba ya mkoa wa Mwanza katika
barabara ya station (station road) karibu kabisa na mzunguko wa sanamu ya
samaki.-Huduma
zote za msingi, ikiwa ni pamoja na maji na umeme ni za uhakika-Jengo
lina eneo la kutosha kwa ajili ya maegesho ya magari-Jengo
ni imara na madhubuti (structurally and esthetically) B: WILAYANI UKEREWE (Pamba Hostel)-Jengo
lipo karibu na Benki ya NMB Ukerewe, karibu kabisa na eneo la bandari ya Nansio
Ukerewe.-Huduma
za umeme na maji zinapatikana katika jengo-Eneo
la kutosha kwa ajili ya maegesho ya magari-Jengo
ni imara na madhubuti (structurally and esthetically) Bahasha
za zabuni zifungwe kwa rakili na kuandikwa juu, Zabuni za kupanga Jengo (Pamba
hostel Jijini Mwanza/Pamba hostel wilayani Ukerewe).Ada
ya zabuni isiyorudishwa ya Tsh 100,000/= italipwa kwa kila zabuni kupitia CRDB
Benki akaunti namba 01J1007418502 NCU (1984) LTD – Na Pay in slip iletwe jengo
la Nyanza Co-operative Union Makao Makuu  Mwanza lililopo barabara ya Kenyatta au
iambatanishwe kwenye nyaraka za Zabuni. MAMBO YA KUZINGATIA:*Jina
kamili la mzabuni,anuani ya Posta, Namba ya Simu, mahali anapopatikana au
anakoishi(makazi),pamoja na viambatanisho vyenye kuthibitisha uwezo wa kulipa
kodi ya jengo ipasavyo.*Mzabuni
anatakiwa kutaja kiwango cha kodi ya jengo husika atakacholipa.*Wazabuni
wanashauriwa kufika na kukagua maeneo yaliotangazwa kwa msaada wa maofisa wetu
walio karibu na maeneo hayo katika muda wa saa za kazi.*Tangazo
la Zabuni litakuwa ndani ya siku kumi na nne (14) Kuanzia tarehe 15-07-2021 na
mwisho wa kutuma Maombi ni tarehe 28-07-2021 saa 3.00 Asubuhi. Zabuni
zitafunguliwa tarehe 28-07-2021 saa 5:00 Asubuhi katika ukumbi mdogo (mabenga
Hall) wa jengo la Nyanza Co-operative Union makao Makuu Mwanza lililopo
barabara ya Kenyatta. Mzabuni au mwakilishi anatakiwa kuhudhuria
ufunguzi wa zabuni.*Uongozi
wa NCU (1984) Ltd Haufungwi na kanuni yoyote juu ya kukubaliwa au kukataa
zabuni yoyote ile ya chini au ya juu isipokuwa uamuzi wake ni wa mwisho.*Hatupokei
zabuni zilizo tumwa kwa FAX au EMAIL.     Zabuni zote zitumwe kwa: MENEJA
MKUUNCU
(1984) LTDP.O.
BOX 9MWANZATELL:
028 2500299
Fanya Biashara yako ikue zaidi.

CATEGORIES

Apply For An Advert.


Email