UTOAJI MREJESHO KUHUSU UBORA WA HUDUMA ZA MAHAKAMA KUPITIA SIMU JANJA ‘MOBILE PHONE’

MAHAKAMA

20/10/21

DescriptionsMtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, Prof. Elisante Ole
Gabriel, a
nawajulisha wananchi na wadau wote wa huduma za Mahakama kuwa Mahakama ya Tanzania imeanzisha
Mfumo wa
kielektroniki wa Kutoa
Mrejesho
kuhusu ubora wa Huduma za Mahakama kupitia simu ya kiganjanai au Tovuti ya Mahakama
(www.judiciary.go.tz). Mfumo huu ni rahisi kuutumia na kwamba taarifa
tutakazopokea zitatumika kuboresha huduma za Kimahakama na sio vinginevyo.JINSI YA KUTOA TAARIFA KUPITIA SIMU YAKO YA KIGANJANI  1. Bofya
    ‘google play store’ tafuta Judiciary Mobile Tz’


i.                   
Pakua na kufungua, bofya kitufe cha Mrejeshoii.                 
Pakua na kuanza kutumia.Kwa wale ambao wanatumia simu za kawaida wanaweza
kutuma ujumbe mfupi (sms) au kupiga simu kwenye dawati letu la mrejesho ambalo
linafanya kazi masaa 24. Namba
0752-500-400.Imetolewa
na;KITENGO CHA HABARI,
ELIMU NA MAWASILIANO
(IECU),MAHAKAMA
YA TANZANIA.
Fanya Biashara yako ikue zaidi.

CATEGORIES

Apply For An Advert.


Email