TAARIFA KWA UMMA MAKAO MAKUU YA VETA KUHAMIA DODOMA

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI

15/08/21

DescriptionsMamlaka ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inautangazia umma kuwa ofisi za VETA Makao Makuu
zitahamishiwa rasmi katika Makao Makuu ya Serikali jijini Dodoma kuanzia tarehe
19 Julai, 2021.Ofisi za Makao Makuu ya
VETA zitahamia kwenye Jiji la Dodoma mtaa wa Mbugani, Barabara ya VETA, kwenye Jengo
la Kiwanda cha Samani cha VETA pamoja na jengo lililokuwa la ofisi za VETA
Kanda ya Kati. Anuani mpya ya VETA Makao Makuu itakuwa kama ifuatavyo;VETA
Makao Makuu,Plot No.
18, Central business Park (CBP)Barabara
ya VETA,S.L.P 802,DODOMA. Kwa
MawasilianoBaruapepe: info@veta.go.tzSimu: +255 26 2963661Tovuti: www.veta.go.tz  Imetolewa na: Mkurugenzi Mkuu    VETA                 Julai
16, 2021
Fanya Biashara yako ikue zaidi.

CATEGORIES

Apply For An Advert.


Email